Habari

Spika Ndugai arejea bungeni kwa kishindo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo amerejea bungeni rasmi katika mkutano wa 11 na kikao cha tano baada ya kutoka nje baada ya kuelezwa alikuwa akipatiwa matibabu.

Spika Ndugai baada ya kurejea ameshangiliwa na wabunge mbalimbali kwasababu hakuonekana kwa muda mrefu katika Bunge hilo.

Katika mkutano uliopita Spika Ndugai hakuonekana na leo ameonekana rasmi ndani ya Bunge na kuongoza Bunge hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents