Soka saa 24!

Spika Ndugai ashangazwa kukwama ujenzi wa Bandari Bagamoyo, Asema ‘Bora tungeanza nayo kuliko reli ya kisasa’ (+video)

Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai ameitaka Serikali kueleza kwa nini ujenzi wa mradi wa Bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani umekwama licha ya mzabuni kupatikana kutoka nchini China.


Spika Ndugai amesema hayo leo Jumatatu Mei 13, 2019 bungeni baada ya wabunge mbalimbali kuhoji mradi huo wa bandari kukwama wakati wakichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya ujenzi, uchukuzi na mawasiliano ya mwaka 2019/20 ya TSh Trilioni 4.9 .

Spika Ndugai amesema ujenzi wa bandari hiyo ukikamilika utakuwa na tija kubwa kwa nchi kuliko ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) unaojengwa, “Yaani bora tungeanza na bandari hii ya kisasa kabisa tukaja reli.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW