Habari

Spika Ndugai awaomba Watanzania kumuombea Mhe. Lissu

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaomba wabunge wote na Watanzania kumuombea Mbunge wa Singida Masharariki, Mh. Tundu Lissu aliyejeruhiwa Septemba 7 na watu wasiojulikana katika eneo la ‘area D’ mjini Dodoma.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents