Michezo

SportPesa kukabidhi Uwanja wa Taifa baada ya kuukarabati (Video)

Kampuni ya michezo ya kubashiri ijulikanayo kama SportPesa Limited Jumapili hii itakibidhi Uwanja wa Taifa kwa Wizara ya Habari baada ya kuufanyia marekebisho makubwa.

Amesema hayo leo mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji SportPesa Tanzania Mr. Tarimba Abbas wakati akitangaza kuwa kampuni hiyo imekubali kuidhamini timu ya mpira wa miguu na kikapu ya Bunge la Tanzania ambao wanatarajia kushiriki mashindano ya wabunge wa Afrika Mashariki mnamno Desemba 3, 2017 katika uwanja wa Taifa, Temeke Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents