Soka saa 24!

SportPesa wabadili kabisa uchumi wa familia ya Hamisi Swalehe, mwenyewe adai furaha imerudi nyumbani

Hapo kabla isingekuwa rahisi sana kueleza namna ambavyo unaweza kubashiri michezo kadhaa na ukafurahia ushindi mara mbili kwa kujishindia fedha taslim na bajaj.

Hamisi Swalehe

Lakini SportPesa walikuja kuwaonyesha wateja weo kwamba inawezekana kushinda zaidi kwa kujinyakulia bajaj mpya.

Hili linathibitishwa na Hamis Swalehe kutoka Yombo Vituka, ambaye anasema hapo kabla alikuwa anafanya shughuli zake kwa kubahatisha, lkn ujio wa SportPesa ulibadili mwelekeo wa maisha yake.

Anasema baada ya kujishindia bajaj mpya na SportPesa ameweza kununua pikipiki mbili maarufu kama bodaboda ambazo zinamwingizia fedha kila siku.

Kwa upande wa familia, Swalehe anasema mambo yamebadilika sana kwani bajaj imeifanya familia yake kuishi kwa furaha na uhakika.

Huu ni ulikuwa mpango mkakati wa SportPesa kuboresha maisha ya wateja wake kwa njia rahisi na ya furaha bila kutumia nguvu, hii ndiyo SportPesa  ilivyogusa maisha ya wengi

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW