Michezo

SportPesa waipokea Klabu ya Yanga SC Kifalme (Video+Picha)

Mabingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara msimu huu 20016/17,Yanga SC leo jioni wamepokelewa kifalme na Kampuni ya SportPesa ambao ndiyo wadhamini wao kuanzia msimu ujao, pale Airport Jijini Dar es salaam wakitokea jijini Mwanza ambako walienda kumalizia mchezo wao wa mwisho dhidi ya Mbao FC.

Kampuni hiyo ya Sportpesa walitoa magari huku wakiwavalisha Jezi za Yanga SC Mashabiki wote walioenda Airport kuwapokea ‘Wakimataifa’ Shangwe zilizoanzia Airport hadi makao makuu ya Klabu hiyo Jangwani,Tazama Picha na Video za mapokeo hayo ya Kifalme yalivyofana

https://www.instagram.com/p/BUW-EM1D7XE/?taken-by=bongofive

By Godfrey Mgallah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents