Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

SportPesa wamwaga zawadi kwa mashabiki wa Arsenal,Simba SC na Yanga SC (Video +Picha)

Mashabiki wa klabu ya Arsenal inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza nawale wa Simba SC na Yanga SC hii leo wamepatiwa zawadi mbali mbali ikiwemo Jezi ‘Original’na kampuni ya kubashiri ya SportPesa zoezi lililofanyika katika viwanja vya 40/40 Tabata Bima Jijini Dar es Salaam.

Zifuatazo ni picha zinazowaonyesha mashabiki wasoka walivyofurahia zawadi walizopewa na SporPesa.

 

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW