Michezo

SportPesa yakabidhi Uwanja wa Taifa kwa Waziri Mwakyembe (Video+Picha)

By  | 

Kampuni ya kubashiri matokeo ya SportPesa hii leo imekabidhi Uwanja wa Taifa kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe baada ya kuufanyia ukarabati.

Akizungumza na waandishi wa Habari Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Abbas Tarimba amesema historia ya ukarabati ya Uwanja huo imeanza mwezi Juni mwaka huu wakati wa kujiandaa na ujio mkubwa wa klabu ya Everton.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments