Burudani

Staa wa Empire Terrence Howard ampa talaka mke wake wa tatu!

Staa wa tamthilia ya Empire, Terrence Howard amempa talaka mke wake wa tatu, Mira Pak, Jumatatu hii kwa mujibu wa New York Daily News.

terrence-miranda-childbirth-101

Gazeti hilo limedai kuwa Pak, 38, alianza kufuatilia taratibu za kupewa talaka March mwaka huu kwa madai ya tofauti zisizosuluhusika huku akiwa mjamzito wa mtoto wao.

Mtoto wao kiume, Qirin Love alizaliwa May na Pak anadai kuwa wawili hao walikuwa wakiishi mbalimbali August 2014.

Pak alikuwa anamtuhumu mume wake kuwa na uhusiano na wanawake wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents