Burudani

Staa wa filamu za kihindi atua Bongo

Tanzania imekuwa ni sehemu muhimu kwa mastaa wakubwa duniani kwa mwaka huu. Muigizaji na muandaaji wa filamu za kihindi, Sanjay Balraj Dutt ameongeza idadi ya watu maarufu ambao wametembelea nchini kwa ajili ya mapumziko.

Muigizaji huyo amepokelekewa na Mbunge wa Manonga wilaya ya Igunga, Tabora Mh. Seif Khamis Gulamali, na anatarajiwa kutembelea katika mbuga za wanyama za Ngorongoro zilizopo mkoani Arusha.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents