Burudani

Staili 3 inakuja upya

Image
Ndogondogo kutoka kwa mkali wa mistari kutoka Arusha, Stop the Rhymecca zanasema kwamba jamaa ameachia Video nyingine ya wimbo wake unaotamba wa Staili 3. Kazi imefanywa Arusha na imeanza kusambazwa kwenye vituo mbalimbali vya televisheni wiki hii. Kwa mujibu wa Stopa mwenyewe, Video ya kwanza ilifanywa haraka kutokana na maombi ya mashabiki na sasa, baada ya kutulia na kujipanga vizuri, amezidisha ubora wa video hiyo na ana uhakika itakamata vizuri kwenye burudani

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents