Mahojiano

Stamina: “Wazo la Kaka tuchat tulilifanyika kazi zaidi ya mwezi, Lilitokana na maswali tunayoulizana kuhusu Corona” – Video

Rapper wa Bongo Fleva na mmoja ya wasanii wanaounda kundi la ROSTAM @staminashorwebwenzi amefunguka mengi sana kuhusu ngoma yao mpya na @roma_zimbabwe ya #Kakatuchat.

Stamina ameeleza jinsi wazo la ngoma hiyo ya kaka tuchat ilivyokuja na kusema kuwa chanzo hasa kilikuwa ni maswali waliyokuwa wanaulizana na Roma yeye akiwa Tanzania na Roma akiwa Marekani na kikubwa walichokuwa wakiuliza ni kuhusu gonjwa la Corona.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents