Michezo

Stars ikiendelea na mazoezi leo uwanja wa Uhuru (Picha)

Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inaendelea na mazoezi uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Botswana utakao pigwa Septemba 2 mwaka huu.

Mayanga atangaza kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Botswana

Wachezaji hao wa Taifa Stars wameingia kambini Agosti 27 siku ya Jumapili saa mbili usiku nakuanza mazoezi tarehe 28 ya mwezi huu tayari kwa maandalizi uhuku kambi hiyo ikitarajiwa kuvunjwa siku moja kabla ya mchezo huo wa kirafiki.

Picha za wachezaji wakiwa katika mazoezi uwanja wa Uhuru

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents