Picha

Started from the bottom: Producer Lucci aonesha studio ya kwanza na ile ya sasa

Studio za TransforMax zinazomilikiwa na mtayarishaji wa muziki nchini, Lucci ni miongoni mwa studio za nguvu kabisa jijini Dar es Salaam. Lakini si studio alizozipata siku moja. Ameanza mbali.

Studio ya Lucci mwaka 2005
Studio ya Lucci mwaka 2005

“When I began producing music in 2005, Started from the bottom now I’m here. Ndio ilikuwa studio yangu hiyo full ma cassete tu,” amesema Lucci kuelezea picha hiyo juu.

Hii ndio studio yake ya sasa.

IMG_3808

IMG_3809

IMG_3810

IMG_3811

IMG_3812

IMG_3816

IMG_3817

IMG_3818

IMG_3819

IMG_3823

IMG_3829

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents