Michezo

Stephen Keshi ajiulizulu kama kocha wa Nigeria

Kocha wa Nigeria, Stephen Keshi amejiuzulu kama kocha wa timu hiyo ya taiga baada ya kuondolewa jana kwenye kombe la dunia, FIFA imesema.

AMVCA-Trophy-

Shirikisho la soka la Nigeria bado halijathibitisha kujiuzulu zake japo ana maswali mengi ya kujibu baada ya timu yake kufungwa 2-0 na Ufaransa Jumatatu hii. FIFA.com imenukuu tweet ya Keshi, japo mapema wakati wa shindano hilo maafisa wa Nigeria walisema hayupo kwenye mtandao huo.

“Friends, it has been a good run and I have enjoyed every moment. It’s been an honour coaching the Super Eagles. It is however time to bow out,” ilisema tweet hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents