Habari

Steve Nyerere adai kutishiwa kifo na watu wasiojulikana ” Mimi sijawahi ogopa sijawahi tishiwa”

Steve Nyerere adai kutishiwa kifo na watu wasiojulikana " Mimi sijawahi ogopa sijawahi tishiwa"

Msanii wa Bongo Movie nchini Tanzania Steve Nyerere amefunguka mwanzo mwisho na kudai kwamba kuna watu wanamfatilia wanamtishia kuyaondoa maisha yake.

Akiongea hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram Steve amedai kuna watu wanamtishia ” Maisha yangu yapo hatarini sijui kesho yangu ,Ninapo fika nyumbani kwangu naambiwa napewa na ujumbe kuna Watu wanakutafuta,nimekuwa kama yatima kwa Muda?lakini niseme mimi ni mimi na mtabaki kuwa mimi sijawahi ogopa sijawahi tishika nilizaliwa siku 1 na mtakufa Siku moja ,Ndoto yangu ni kuwa , Ndoto yangu wanangu wasihishi kwa misaada wajue BABA yao ni zaidi ya BINADAMU ,Naipenda TANZANIA YANGU na hapa ni nyumbani kwangu Huzuni hujenga ujasili daima .”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents