Burudani

Steve Nyerere afunguka baada ya Diamond kutoa misaada Tandale ‘na mimi nitafanya makubwa’ (+video)

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Steve Nyerere amesema kuwa kitendo cha Diamond Platnumz kutoa misaada Ijumaa ya wiki hii pale Tandale ni kitendo cha mfano na cha kuigwa kwa watu wote maarufu nchini Tanzania.

Akiongea na Bongo5 na yeye amesema kuwa kwenye Birthday yake mwakani atafanya kama alivyofanya Diamond Platnumz, kulingana na uwezo wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents