Steve Nyerere afunguka haya baada ya Ommy Dimpoz kumsamehe “Mimi ni shabiki namba moja wa Ommy” (+ Video)

Msanii wa filamu Steve Nyerere amefunguka baada ya kumuomba radhi muimbaji Ommy Dimpoz kufuatia kauli yake mbaya “Ommy Dimpoz hataweza kuimba tena” aliyoitoa miezi michache iliyopita.

Msanii huyo amesema kuwa furaha yake baada ya Ommy Dimpoz kumsamehe ilitoka moyoni kabisa, na ameeleza yeye ni shabiki namba moja wa muziki wa Ommy Dimpoz.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW