Steve Nyerere amuenzi Hayati Baba wa Taifa kwa party ya nguvu

Mwanamuziki wa bendi iliyotoka Congo akitumbuiza

Mchekeshaji maarufu nchini kwa kumuigiza Baba wa Taifa, Steve Nyerere jana Octoba 14 alishiriki kikamilifu katika tukio la kipekee la kumwezi Baba wa Taifa ikiwa ni miaka 13 tangu afariki dunia.

Tukio hilo ambalo lilifanyika Sunrise Beach Resort, Kigamboni jijini Dar es Salaam, lilihudhuriwa na watu mbalimbali maarufu wakiwemo wale aliogiza nao kwneye filamu ya Nyerere.

Burudani zilipamba sherehe hiyo ambapo Steve na kundi lake waliimba nyimbo mbalimbali kwa mtindo wa kuigiza sauti za wasanii wa muziki wa dance.

Pia kulikuwepo na show ya live band ya wasanii kutoka Congo iliyoangusha burudani nzuri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents