Burudani

Steve Nyerere atoa salamu za rambirambi ajali ya MV Nyerere (Audio)

Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza, Steve Nyerere ametoa salamu za rambirambi kwa watanzania pamoja na wanafamilia waliokubwa na msiba nzito baada kivuko cha Mv Nyerere kuzama na kusababisha kufariki kwa watu 224, Wanawake 126 watoto 27.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents