Burudani

Steve Nyerere awambia wasanii “nikicheza beki 5 hakuna msanii atakufa njaa” (Video)

Msanii wa filamu, Steve Nyerere Jumatatu hii alifanya kikao na wasanii ambao walitembelea mradi wa reli ya kisasa na kuzungumza nao mambo mbalimbali pamoja na mipango yake ya kuhakikisha wasanii wapiga pesa kutokana na majina yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents