Steve Nyerere: Bora Alikiba kaona thamani ya Bongo movie, hiyo ndio maana ya kuwa King wa Bongo Fleva (+Video)

Msanii wa Bongo movie @stevenyerere2 amempongeza msanii @officialalikiba baada ya kuwaombea bajeti kwa Rais Magufuli ya kutengenezwa Documentary ya Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere ambayo itaelezea maisha yake.

Akiongea na Bongo5 @stevenyerere2 amempongeza na kusema hiyo ndio maana ya kuitwa KING 👑 wa muziki wa Bongo Fleva. Pia ameongeza kuwa watu wengine walikuwa wanaupuuzia sana Bongo Movie lakini @officialalikiba ameonyesha kuwa hiyo tasnia ina umuhimu mkubwa.

Pia amewakanya wale wanaosema wasanii wengi kuipigia kampeni CCM kuwa njaa zinawasumbua amewajibu haya.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW