Tupo Nawe

Steve Nyerere: Idris Sultan amekosea, hakuna asiyejua alichokifanya (Video)

Msanii wa filamu Steve Nyerere amesema yeye pamoja na Haji Manara walizungumza na Idris Sultan kuhusu namna anavyoiendesha sanaa yake. “Hakuna mtu ambaye hajaona alichokifanya Idris Sultan, yaani kile cha kuonyesha kama amemdhihaki Mhe Rais, sanaa ina mipaka yake” alisema Steve Nyerere.

Aliongeza “Mimi na Haji Manara nilishazungumza naye baada ya matatizo yaliopita, lakini na kwa hili pia tumuombea radhi, alichokifanya hata sisi hatujakipenda “

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW