Habari

Steve Nyerere na Sinta kutangaza Redio


Mwigizaji wa filamu na komedi za kibongo Steve Nyerere pamoja na mwigizaji wa kike katika tasnia ya filamu Sintah aka jlo wa Tanzania wameamua kujitosa katika gemu ya utangazaji hususan wa radio.
Wanafilamu hao wamekula shavu katika kituo cha Redio Times Fm 100.5 iliyopo maeneo ya Kawe jijini Dar-Es-Salaam, kwa ajili ya kufanya kipindi kinatakachoitwachoitwa “Hatua Tatu”,kitakachomshirikisha mwanadada mwingine anayeitwa Marium.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Sintah alituma katika mtandao wake alisema anayofuraha kuujulisha umma kuwa ataku anasikika katika redio ya TimesFM katika kipindi cha hatua tatu kuanzia asubuhi saa 3 hadi saa 6 mchana.
Wadau mpoo?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents