Burudani

Steve Nyerere na waigizaji wa Bongo Movie waishukuru Mahakama kwa kumhukumu Wema Sepetu mwaka mmoja jela (+video)

Steve Nyerere na waigizaji wengine wa filamu wajitok hukumu ya Wema Sepetu (+video)

Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Steve Nyerere ametoa ya moyoni baada ya kushuhudia hukumu ya Wema Sepetu ya mwaka mmoja jela au kulipa faini ya milioni 2 kwa kosa la kukutwa na kutumia madawa ya kulevya.

Steve Nyerere akizungumza na Bongo5 amesema anaishukuru sana Mahakama kwa hukumu hiyo ya mwaka mmoja jela au faini ya milioni mbili kwani maamuzi ya mahakama ni sahihi na yatamfanya Wema Sepetu aishi kwa uhuru na kufanya kazi zake kama kawaida.

SOMA ZAIDI – Wema Sepetu ahukumiwa jela mwaka mmoja

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents