Burudani

Steve RnB anasa kwenye penzi la msanii chipukizi

By  | 

Steve RnB amemtaja mpenzi wake mpya baada ya kuachana na aliyekuwa mke wake Naimana Kuyangana, ambaye walifunga ndoa Octoba, 2014 wakiwa na mahusiano tangu wakiwa sekondari.


Picha ya Steve RnB akiwa na mpenzi wake Ney Com

Muimbaji huyo kupitia kipindi cha E News cha EATV amethibitisha kuanzisha mahusiano mapya na msanii Ney Com ambaye mara kadhaa wameonekana wakiwa katika picha za pamoja.

“Pigia mstari kile unachokiona. Unajua sio kila kitu lazima utake kukiongea, kila kitu ambacho unakiona ndio vile kilivyo,” amesema Steve.

“Mimi kwenye maisha yangu hakunaga kupindapinda, kila unachokiona kwenye maisha yangu ndio hivyo kilivyo,” ameongeza.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments