Habari

STL Kushoot wimbo wake mpya Kenya


Rapper wa kike raia wa Kenya aishie nchini Norway Stella Mwangi aka STL jana amewasili jijini Nairobi Kenya kushoot video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Bad As I Wanne Be’.
“Tell em im’a be as bad as I wanna be! Video shoot in Kenya will be the shiiiieettt,” alitweet jana.
STL amesema “Bad As I Wanna Be” itatoka rasmi tarehe 29, June!
“The track is produced by my boys Big City, and I’m really excited about it! I’m taking it back to where I came from: Hip-hop!
Cover ya wimbo huo inamuonesha STL akiwa ameshika msokoto wa bangi ukiwa umewashwa na moshi umesambaa. Apparently, watu wameipenda cover hiyo,” the pic….awesome Stella.Bad Girl i see.Again,the pic b tha shyyyiieet.had to download it,” aliandika shabiki wake aitwaye Jaymez.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents