Burudani

Straight Outta Compton yakamata nafasi ya kwanza kwenye box office kwa wiki ya pili

Filamu ya Straight Outta Compton inazidi kukaa kileleni.

soc-web2

Filamu hiyo inayooelezea historia ya kundi la N.W.A imekamata nafasi ya kwanza kwenye box office kwa wiki ya pili.

Katika wiki ya pili filamu hiyo imeingiza dola milioni 26.8 na hivyo kuingiza dola milioni 111.5 hadi sasa.

Compton imetayarishwa kwa ushirikiano wa Ice Cube na Dr. Dre.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents