Burudani

STYLISH NIGHT: Utapenda Jack Wolper avyoweza kucheza (Video)

Malkia wa filamu, Jacqueline Wolper baada ya kuona mashabiki wake wamejitokeza kwa wingi katika show yake ya Stylish Night iliyofanyika Usiku wa kuamkiwa Jumamosi hii katika High Spirit jijini Dar es salaam, alimua kuingia stejini na kuamua kuonyesha uwezo wake mkubwa wa kucheza.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents