Habari

Sugu ameshinda ubunge wa Mbeya!!

Sugu Chadema

 

Tumepata habari kwamba Joseph Mbilinyi aka Sugu ndiye mbunge wa Mbeya Mjini kwa kupitia chama cha CHADEMA.

Hongera mkuu, tunakutakia kila la kheri katika ujenzi wa Taifa letu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents