Burudani

Suma Lee kukamua albamu ya mwisho

sumalee
Mkli ambay alijizolea umaarufu mkubwa alipokuwa katika kundi la Parkline akia na Cpwaa, Sumalee hivi sasa anataraji kuja na ujio wa pekee ambao haujawahi kutokea kwenye albamu yake ya pili ya hisabu za mapenzi.

Anasema kwanza albamu hiyo inanyimbo mbayo hzkuwahi kuimbwa wla kusikika kuanzia mashaii hadi kichwa cha wimbo wenyewe. alisema miongoni mwa majina ya wimbo huo ni Dubai, UK, Hakunaga, Atoke nje na nyingine nyingi .

Mwanmuziki huyo amesema cha zaidi kwamba albamu hiyo ameamua kuwekeza makali yake yote hapo kwakuwa ndiyo albamu yake ya mwisho, na hatoweza kutoa tena albmu na hatmaye atakuwa anagonga singo moja moja.

Amesema hii ni shukrani kwa watanzaia wote na mashabiki wake, hususani wale wapenzi wa muziki wa Bongo Fleva, kwamba si ya kukosa kwani ni kali zaidi ya ile albamu ya Chungwa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents