Tupo Nawe

Suma Mnazaleti: “Muziki wa Bongo Fleva hauwezi kubadilika, Wasanii ni wale wale wanaofanya vizuri” – Video

-Msanii wa muziki wa Bongo Fleva aliyetamba na ngoma kama #Chukuatime aliyomshirikisha @ommydimpoz #Tukowangapi aliyomshirikisha @tundamantz Na nyinginezo nyingi alizowahi kutoa akiwashirikisha wasanii kama @staminashorwebwenzi @roma_mkatoliki na wengine @sumnazaleti_ amefunguka mengi sana.

Akiongea na Bongo5 akiwa nchini Afrika Kusini sehemu ambako anaishi kwa sasa ameeleza na kutoa maoni yake kuhusu mabadiliko ya muziki wa Bongo Fleva tangu awe kimya.

Suma ameongeza kuwa kwa upande wake haoni mabadiliko kwenye muziki kwani wasanii wanaofanya vizuri bado ni wale wale labda msanii aliyeongezeka ni wachache akimtolea mfano @harmonize_tz

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW