Burudani

Suma Mnazareti atoka na video ya Nyota wa Mchezo

Suma_Mnazareti_face

MsaniiĀ  kutoka pande za Mabibo Makutano, Suma Mnazareti amekamilisha video ya wimbo wake ya Nyota wa Mchezo, ambao amefanya kwa Production yake mwenyewe ilikuufanya wimbo huo uwe na kiwango cha kimataifa na pia kuongeza ujuzi wake.


Amesema audio ya wimbo huo ameufanya Mesen Selekta, na lengo lake likiwa kufanya kazi katika kiwango cha kimataifa katika utengenezaji na uimbaji.

Suma_mnazareti_kofia

{hwdvideoshare}id=1608|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents