Habari

Sumaye atema cheche kuhusu mashamba yake (+Video)

Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye amesema kunyang’anywa mashamba yake si sababu ya yeye kurudi CCM.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Sumaye amesema kuwa migogoro yake na serikali ilianza tangu yeye alipotoka Chama cha Mapinduzi CCM.

Video:

Na Emmy Mwaipopo & Yasin Ngi’tu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents