Michezo

Sunday Oliseh awa kocha mpya wa timu ya taifa ya Nigeria

Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, Sunday Oliseh ,40, ametangazwa na shirikisho la soka la nchi hiyo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu. Oliseh amechukua nafasi ya Steven Keshi aliyetimuliwa.

1640510-34808064-640-360

Oliseh anakuwa mchezaji wa nne wa zamani wa Nigeria kupewa nafasi hiyo ya kocha mkuu wa timu ya taifa. Nigeria ipo kundi moja na Taifa Stars katika kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika (AFCON)

Oliseh aliwahi kuvichezea vilabu vya Juventus, Italia, Ajax ya Uholanzi na Dortmund ya Ujerumani.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents