Burudani

Super Shine kuzindua albamu mbili Navy Beach

 Super_Shine_face

Kundi la muziki wa taarafu nchini la Super Shine linaloongozwa na Salma Yahaya ‘Queen Salm’. Akizungumza na Bongo5, alisema hivi sasa wanajiandaa na uzinduzi wa albamu mbili kwa wakati mmoja.


Alisema albamu yao ya kwanza inanyimbo nne, na ya pili ina nyimbo tano zote watazindua kwa pamoja kwakuwa yakwanza ilichelewa kuzinduliwa.  Pia ameongeza kwa kusema kwamba uzinduzi wa albamu zote hizo, zitafanywa siku ya juma pili  Navy Beach.

Alisema  Bonanza hilo litaitwa Marafiki wa ukweli, familia na uzinduzi wa albamu mpya.

Super_Abda_Bwiga 

Pia alisisitiza katika uzinduzi huo, ambao pia nyimbo mbili mpya zitazindulishwa ikiwemo Proffesional Love ulioimbwa na Hasssan Zumo na Red Card uliyimbwa na Rahma Yahaya.  katika uzinduzi huo utasindikizwa na ‘KHANGA MOJA, ndembendembe,Jokha Khasim na Hassan Ally.

Super_Ali_mikidadSuper_Nuru_Njama 

Nuru Njama, mmoja wa waimbaji wa bendi hiyo.

Nuru Njama  mmoja wa waimbaji wa bendi hiyo.
Super_Rahma_Yahaya

Rahma Yahaya mwimbaji wabendi hiyo

 

Super_Ramadhan_Mikwembe

 

Super_Salma_Seleman

Kiongozi wa bendi ya Super Shine Queen Salma ‘Salma Yahaya’

Super_Salma__Yahaya

Mtoto wa bendi ya Super Shine Baby Chammy.

Super_Sareh_Mussa

 

Super_Shaban_Kapi

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents