Burudani

Super Shine wafunika Navy Beach

Super_Shine_Face

Kiongozi wa kundi la muziki wa taarab  la Super Shine, Salma Mbwana ‘Queen Salma’  amezitambulisha nyimbo mbili  Red Card na tumewakata midomo na albamu  ya Red Card katika bonaza la  usiku wa Marafiki wa Ukweli na Familia




alisema albamu  itakuwa na yimbo tano zikiwemo nyimbo hizo.
Aidha amesema matarajio ya bendi hiyo ni  kufanya uzinduzi wa albamu  baada ya kuisha kwa mfungo wa ramadhani,  mwaka huu .

super_shine_Baby

 

“Katika utambulisho wetu ulienda salama, tukisindikizwa na  Jokha Khasim, Hassan Alli, onyesho la kiduku na Khanga moja ndembe ndembe, nashukuru mungu lilienda vizuri” alisema.

Super_shine_blue

 Queen Salma aliongeza kwa kusema watakuwa wakifanya tamasha hilo kila jumapili, huku wakisindikizwa na Khanga Moja.

Super_Shine

Super_shine_Spider

Super_Shine_jukwaa

Super_Shine_Mickdadi

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents