Burudani

Super Soul Sunday: Nafasi ya kuamini katika kufanikiwa

Kazi yangu kila Jumapili ni kukusongezea nukuu saba kutoka kwa watu ambao wamefanya mambo makubwa au ya kipekee katika dunia hii. Nukuu za leo zimelenga kukupa mambo kadhaa kuhusu imani kuelekea kufanikiwa.

  1. Fanya hivyo, usiangalie tena nyuma na jiamini mwenyewe: utafanya jambo litakalofaa – Delno L. A. Tromp.
  2. Kikwazo pekee kwa utambuzi wa kesho wetu itakuwa mashaka yetu ya leo – Franklin D. Roosevelt.
  3. Mtu halisi ni kile ambacho anachofikiria – James Allen.
  4. Njia bora ya kubadilisha mfumo wako wa imani ni kubadili ukweli kuhusu wewe. Nini unafanya kwa kweli ni muhimu zaidi kuliko kile unachofanya – Steven Chandler.
  5. Katika wakati utakapochukua imani hii, wakati huo ndipo ndoto yako itakuwa kweli – Robert Collier.
  6. Napenda kuwa na akili iliyofunguliwa na ajabu kuliko yote napenda iliyofungwa na imani – Gerry Spence.
  7. Imani yako hueleza matendo yako, matendo yako hueleza matokeo yako, lakini kwanza lazima uamini – Mark Victor Hansen

Shukrani, dondosha comment yako hapo chini kuelezea ni nukuu ipi imekubamba zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents