Michezo

Sura ya Countinho yazua utata kalenda ya Liverpool 2018

Siku moja tu baada ya kukamilika kwa usajili wa Philippe Coutinho kutoka Liverpool kwenda Barcelona kwa uhamisho uliyoweka rekodi nchini Uingereza wadau la paundi milioni 145, timu hiyo imeamua kuondoa sura ya mchezaji huyo katika kalenda yake mpya ya mwaka 2018.

Baada ya Coutinho ‘Mr January’ mwenye umri wa miaka 25 kukamilisha usajili wake, kupitia mitandao ya kijamii mashabiki wa meilalamikia Primier League kuendelea kuona sura ya mchezaji huyo katika kalenda ya Liverpool jambo ambalo linaonekana kuingiliana maswala ya kibiashara.

Mapema leo mchezaji huyo ameingia katika Uwanja wa Nou Camp na kuonyesha ujuzi wake mbele ya waandishi wa habari ikiwa ni sehemu ya kutambulishwa rasmi baada ya kuingia kandarasi ya miaka mitano.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents