Sven wa Simba aibukia Morocco, alamba dili nono

Baada ya kuiacha klabu ya @simbasctanzania katikati ya msimu kocha raia wa Ubelgiji Sven Vanderbroeck ameibukia katika klabu ya Rabat Far ya nchini Morocco 🇲🇦 ikidaiwa amesaini mkataba wa miaka miwili.

Hii inatokana klabu hiyo inayoshiriki ligi ya Morocco kumtimua kocha wake Talib siku kadhaa nyuma.

Sven aliondoka Simba kwa taarifa zilizoelezwa na klabu hiyo kuwa ni kutokana na majukumu ya kifamilia.

Bofya hapa chini kusikiliza uchambuzi wake:

https://www.youtube.com/watch?v=m7q_jkUvwPE&t=474s

https://www.youtube.com/watch?v=m7q_jkUvwPE&t=474s

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW