kwa wale ambao walikuwa hawafahamu jana usiku ilikuwa ndio, the official opening ya Swahili Fashion Week season 5, ambayo ilianza rasmi katika hoteli ya kimataifa ya Golden Tulip. it was a fabulous night with an exquisite designs shown by yours truly Tanzania designers, with one showcase appearance kutoka kwa designer Mganda Martha who did a stunning transparent blaclk themed creation which wowed the audience, especially guys.
Nani alitokelezeaje, check out the red carpet photos.