Burudani

T.I. aomba radhi baada ya kusema mwanamke hawezi kuwa rais wa Marekani!

T.I. amejikuta kwenye kitimoto baada ya kutania kuwa mwanamke hawezi kuwa rais wa Marekani.

1399913469_ti_5058e6cc3a106_34

Baada ya maji kumfika shingoni, rapper huyo ameamua kuomba radhi.

Wakati wa interview na DJ Whoo Kid wiki iliyopita, Tip alisema hawezi kumpigia kura Hillary Clinton kwasababu ni mwanamke.

“Not to be sexist, but I can’t vote for the leader of the free world to be a woman,” alisema. “Just because, every other position that exists, I think a woman could do well. But the president? It’s kinda like, I just know that women make rash decisions emotionally—they make very permanent, cemented decisions—and then later, it’s kind of like it didn’t happen, or they didn’t mean for it to happen. And I sure would hate to just set off a nuke. I think you might be able to the Loch Ness Monster elected before you could [get a woman],” alisema.

“My comments about women running for president were unequivocally insensitive and wrong. I sincerely apologize to everyone I offended,” aliandika kwenye Twitter.

Pia amejirekodi video ya zaidi ya dakika 2 kusisitiza kuwa maneno yake hayakuwa na maana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents