T.I aushangaza ulimwengu juu ya malezi ya binti yake ‘Kila mwaka namkagua bikra, Sitaki aharibikiwe na mapenzi’

Rapper maarufu duniani kutoka nchini Marekani, T.I amesema kuwa ana desturi ya kufanya check-up ya familia yake mara moja kwa mwaka ili kujua afya zao na kuhakikisha binti yake Deyjah Harris (18) anamkuza kimaadili ikiwemo kumzuia asijiingize kwenye mapenzi angali mdogo kwa kumkagua bikra.

T.I akihojiwa kwenye Podcast ya “Ladies Like Us,”, Aliuzwa na Watangazaji wa show hiyo kama huwa anaongea masuala ya mapenzi na binti yake.

T.I alijibu kwa kusema “Nafikiri kwenye siku yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa nitawambia kuwa binti yangu hajachezewa,“alieleza T.I kwa kufunguka zaidi.

Sio tu huwa nakaa nae na kuzungumza kuhusu mapenzi, Bali kila mwaka huwa nampeleka kwa daktari wa wanawake (Gynecologist) kwa lengo la kukagua bikra yake,“.

T.I amesema kuwa anafanya hivyo bila mtoto wake kujua kwani hata majibu hupewa yeye kwa lengo la kutomuathiri kisaikolojia.

Kwa mara ya kwanza daktari alikuwa ananishangaa sana nilivyokuwa naomba majibu ya mtoto wangu, Akaanza kuniambia sijui bikra inaweza kutoka kwa binti kupanda baiskeli, Farasi na aina fulani ya michezo. Mimi nikamwambia mwanangu sio mwanamichezo wala hajawahi kupanda farasi wala baiskeli, Hivyo nikiona hali yake imebadilika lazima niulize, Nashukuru mpaka sasa ni bikra,“amesema T.I kwenye Podcast hiyo iliyoruka juzi Jumanne Novemba 5, 2019 .

Kufuatia maoni yake hayo, T.I ameshambuliwa na mashabiki wake kwenye mitandao ya kijamii wengi wakidai kuwa ni unyanyasaji wa kingono, Na wengine wakisema afya ni jambo la siri na sio vyema kutangaza.

View this post on Instagram

'Kila mwaka namkagua bikra, Sitaki aharibikiwe na mapenzi’ —————————————————————————————————- Rapper maarufu duniani kutoka nchini Marekani, T.I amesema kuwa ana desturi ya kufanya check-up ya familia yake mara moja kwa mwaka ili kujua afya zao na kuhakikisha binti yake Deyjah Harris (18) anamkuza kimaadili ikiwemo kumzuia asijiingize kwenye mapenzi angali mdogo kwa kumkagua bikra. T.I akihojiwa kwenye Podcast ya “Ladies Like Us,”, Aliuzwa na Watangazaji wa show hiyo kama huwa anaongea masuala ya mapenzi na binti yake. T.I alijibu kwa kusema “Nafikiri kwenye siku yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa nitawambia kuwa binti yangu hajachezewa,“alieleza T.I kwa kufunguka zaidi. ———————————————————————————– “Sio tu huwa nakaa nae na kuzungumza kuhusu mapenzi, Bali kila mwaka huwa nampeleka kwa daktari wa wanawake (Gynecologist) kwa lengo la kukagua bikra yake,“. T.I amesema kuwa anafanya hivyo bila mtoto wake kujua kwani hata majibu hupewa yeye kwa lengo la kutomuathiri kisaikolojia. ———————————————————————————— “Kwa mara ya kwanza daktari alikuwa ananishangaa sana nilivyokuwa naomba majibu ya mtoto wangu, Akaanza kuniambia sijui bikra inaweza kutoka kwa binti kupanda baiskeli, Farasi na aina fulani ya michezo. Mimi nikamwambia mwanangu sio mwanamichezo wala hajawahi kupanda farasi wala baiskeli, Hivyo nikiona hali yake imebadilika lazima niulize, Nashukuru mpaka sasa ni bikra,“amesema T.I kwenye Podcast hiyo iliyoruka juzi Jumanne Novemba 5, 2019 . . . Kufuatia maoni yake hayo, T.I ameshambuliwa na mashabiki wake kwenye mitandao ya kijamii wengi wakidai kuwa ni unyanyasaji wa kingono, Na wengine wakisema afya ni jambo la siri na sio vyema kutangaza. WRITTEN BY @mgallahtz .

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW