Burudani

T.I. na mke wake wanadaiwa dola milioni 4.5 za kodi!

Rapper Clifford Harris, Jr aka T.I.anadaiwa zaidi ya dola milioni 4.5 zinazotokana na kushindwa kulipa kodi kuanzia 2012 hadi 2013.

The World Premiere Of Marvel's "Ant-Man" - Red Carpet

Mtandao wa Page Six umedai kuwa mamlaka ya kodi nchini humo, IRS iliwasilisha nyaraka huko Georgia zikidai kuwa rapper huyo na mke wake Tameka “Tiny” Harris wanadaiwa kiasi hicho.

Hata hivyo haimaanishi kuwa rapper huyo amefulia bali mwaka 2006 alinunua nyumba yenye thamani ya dola milioni 4.26. Rapper huyo pia amekuwa akiishi maisha ya kifahari.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents