Burudani

T.I, Fat Joe, Dj Khaled wapamba tamasha la TidalXBrooklyn

Kampuni ya uuzaji muziki ya kwa njia ya mtando ya Tidal inayosimamiwa na rapper Jay Z imefanya tamasha kubwa la muziki la TidalXBrooklyn kwa ajili ya uchangia waathirika wa kimbunga kilichoikumba Amerika Kaskazini.

Tamsha hilo limefanyika maeneo ya Brooklyn na kupata sappoti kutoka kwa wasanii kama T.I, Fat Joe, Dj Khaled, Stevie Wonder ,Jennifer Lopez na wengineo. Katika kuonyesha kuwa anamsapoti mume wake mwanadada Beyoncé aliudhuria tamasha hilo licha ya kuwa hakupanda kwenye stage.

Miezi michache pia mwanadada Beyonve alitoa msaada kwa wakazi wa Houston kufuatia kimbunga kilichotoea, pia Jennifer Lopenz naye alichangia dola milioni moja kwa wanga wa kimbunga maeneo ya Puerto Rico.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents