Habari

T-Z KALI CHART: Top Ten Rasmi ya Bongo Flava inayotokana na chart za Radio za Tanzania (July 25)

Hii ni chart rasmi ya Bongo Flava inayotokana na chati za radio mbalimbali za Tanzania itakayokuwa inapatikana kila wiki siku za Alhamisi hapa Bongo5.

top ten

Vigezo vilivyotumika kupata chart hii:

Chart za radio za mikoa mbalimbali Tanzania zimetumika katika kupata nyimbo 10 zilizotokea mara nyingi zaidi katika chart hizo (frequency).

Hakuna wimbo ulioingia katika chati hii kwa maoni binafsi ya Bongo5.

Chart za Radio za Tanzania zilizotumika:

Top 20 – Safari Radio – Mtwara
Tbc Fm Top 20 – Dar es Salaam
Breeze Fm Top 20 – Tanga
The Chart Show – Times Fm – Dar es Salaam
Mbeya Fm Top 30 – Mbeya
Bomba Fm Top 30 – Zanzibar
The Chart Show – East Africa Radio – Dar es Salaam
African Beats Top Ten- Kiss Fm – Mwanza
Kahama Fm Top 20 – Kahama
Bamiza Chart – Magic Fm – Dar es Salaam
Ebony Fm Top 30 – Iringa
Impact Hot 20 – Impact Fm – Dodoma
Clouds Fm Top 20 – Dar es Salaam
Planet Fm Top 30 – Morogoro
Magic Top 10 – CG Fm – Tabora
Bongo Top 20 – Radio 5 – Arusha

T-Z KALI CHART WIKI HII (JULY 25)

NO.1 LADY JAYDEE – YAHAYA
NO.2 BEN POL – JIKUBALI
NO.3 MADEE – SIO MIMI
NO.4 NAY WA MITEGO &DIAMOND – MUZIKI GANI
NO.5 SNURA – MAJANGA
NO.6 SHETTA FT. RICH MAVOKO – SINA IMANI
NO.7 IZZO B FT. SHAA & BARNABA – LOVE ME
NO.8 DIAMOND – UKIMWONA
NO.9 YOUNG KILLA, STAMINA & QUICK – JANA NA LEO
NO.10 CHEGE – USWAZI TAKE AWAY

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents