Tia Kitu. Pata Vituuz!

Taarifa kuhusiana na lead singer/vocalist wa kundi la Shosteez

Kundi la Shosteez linaloundwa na wasichana watatu, Menynah Atick, Salma Mahin na Nuru Yogo limehusishwa kwenye cover la jarida jipya la Mzuka. Katika cover story ya Shosteez muimbaji mkuu wa kundi hilo ameandikwa kuwa ni Salma badala ya Menynah Atick. Tunapenda kufanya marekebisho kupitia post hii kuwa lead singer/vocalist (muimbaji mkuu) wa kundi la Shosteez ni Menynah Atick.

Menynah Atick
Menynah Atick

3

Salma
Salma
Nuru
Nuru

24

Jipatie sasa nakala ya jarida la Mzuka. Wasiliana na namba 0716265838 kwa taarifa zaidi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW