Taarifa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)

Mamlaka ya Hali ye Hewa Tanzania(TMA), imetoa taarifa ya ya baadhi ya maeneo nchini kuwa na hali ya mawingu, sehemu nyingine kuwa ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua. Tazama jedwani kutazama hali ya hewa kwa baadhi ya maeneo nchini Tanzania.

Soma taarifa kamili;

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW