Michezo

Taarifa njema kwa mashabiki wa Manchester United Mata, Matic, Herrera, Martial fiti kuikabili Arsenal Jumapili hii (+ Picha)

Baada ya kuwa nje kwa vipindi tofauti, baadhi ya wachezaji wa Manchester United ambao walikuwa majeruhi wameanza mazoezi ili kujiandaa na mchezo wa ligi jumapili dhidi ya Arsenal.

Ikumbukwe baadhi ya wachezaji wao ambao wanaanza katika kikosi cha kwanza kama Juan Mata, Nemanja Matic, Adre Herrera, Anthony Martial, Phil Jones na Jesse Lingard walipata majeraha kutokana na matatizo tofauti pia katika michezo tofauti na ifahamike katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya UEFA walitumia wachezaji wao wa kikosi cha chini ya miaka 21 na kufanikiwa kushinda mchezo huo.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents