Technology

Taarifa za watumiaji milioni 500 wa Yahoo zadukuliwa

Yahoo imedai kuwa hackers waliiiba taarifa kutoka kwa watumiaji milioni 500 wa mtandao huo mwaka 2014, na kufanya kuwa aniko la kimtandao kubwa zaidi katika historia.

yahoo-logo

Udukuzi huo ulikuwa ni pamoja na kuchukuliwa taarifa binafsi yakiwemo majina na anuani za barua pepe pamoja maswali na majibu ya kiusalama ya watumiaji.

Yahoo wanaamini kuwa shambulio hilo lilidhaminiwa na nchi.

Juy, Yahoo iliuzwa kwa kampuni ya Verizon kwa $4.8bn. FBI imethibitisha kuwa inafanyia uchunguzi shambulio hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents